RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

11.03.2018: WAMAMA WA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" WATOA MISAADA KWA WAJANE

Siku ya Jumapili 11.03.2018 wamama wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" katika ibada ya KUVUNJA ROHO ZA UTASA NA KUTOONGEZEKA iliyofanyika katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" waliweza kumzawadia Mhe. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare vitenge na khanga zaidi ya 100 kwa kumpongeza kwa huduma yake na pia ilikuwa ni zawadi ya kuandhimisha siku ya Wamama Dunia. Pia wamama hao waliweza kutoa magodoro na sukari kwa wajane na waliwasihi watu kujiunga na chama cha Wamama Cha Mlima wa Moto Mikocheni "B" ili wamama wanufaike nacho wakati wa shida naraha.
































Comments