RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

04.03.2018: MATUKIO KATIKA PICHA YA MWALIMU JAKOBO MUTASHI AKIFUNDISHA MASOMO YA NDOA KATIKA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"

Mwalimu Jakobo Mutashi kutoka Mwanza siku ya Jumapili 04.03.2018 alifanyika baraka sana kwa waumini wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" kwa mafundisho ya ndoa. Watu waliguswa sana na somo hili ambalo ni nyeti sana kwa wanandoa na wale wanaotegemea kuingia kwenye ndoa.

Leo nimekuandalia tu matukio katika picha wakati nikijiandaa kukuletea video ya mafundisho ya Mwalimu Jakobo Mutashia. Kwahiyo endelea kufuatilia post zetu. Na kupitia post hii tuntakuwekea link itakayokupeleka moja kwa moja kwenye video ya mafundisho ya Mwalimu Jakobo Mutashi kutoka Mwanza. 

Sasa nikualike katika ibada ya Jumapili hii hapa Mlima wa Moto Mikocheni "B", ibada itaanza saa 3 asubuhi hadi saa 8 mchana. kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" limekuandalia usafiri wa bure wa kufika kanisani kuanzia kituo cha mabasi cha Makumbusho na Mwenge kwenye mataa barabara ya Coca Cola. na siku ya Jumatano na Ijumaa, ibada itaanza saa 9 alasiri hadi saa 1 usiku. Usafiri ni bure kuanzia Mwenge kwenye mataa barabara ya Coca Cola jijini Dar es Salaam.


Tunakukaribisha sana na TUNAKUOMBA SANA UTUSAIDIE KU-SHARE..Mungu na akubariki sana.


Mhe. Bisho Dr. Gertrude Rwakatare

Mwalimu Jakobo Mutashi na mke wake

Mch. Noah Lukumay













































Comments