RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

VIDEO MUSIC | AUDIO MUSIC: ROGATE KALENGO – KUNA NAMNA



Bwana Yesu Asifiwe mwana wa Mungu! leo kupitia blog yako pendwa tumekusogozea video iitwayo Kuna Namna kutoka kwa mwimbaji mpya na mahiri wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Rogate Kalengo, video ikiwa imeongozwa na director JohnDlyimo na Dickson George, na wimbo ukiwa umetaayaarishwa ndani ya studio za Faith Music.

”Namshukuru Bwana Yesu kwa hatua hii ambayo amenipa naamini utabarikiwa sana na Mungu atazidi kubadili maisha yako kwa namna ya tofauti. Nashukuruni wote mliohusika kukamilisha kazi hii wana maombi, Back vocals na Managers.” – Rogate Kalengo

Ikumbukwe kuwa Rogate Kalengo ni mwimbaji aliyewahi kuwa mshindi wa tatu katika mashindano ya Gospel Star Search (G.S.S) yaliyofanyika jijini Dar es salaam 2016.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema na kupakua wimbo huu uliojaa habari njema ambao kwa hakika utakwenda kufanya kitu kipya ndani ya moyo yako. Karibu ubarikiwe!!

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Rogate Kalengo kupitia
Simu/WhatsApp: +255 752 254 801 au +255 769 103 087
Facebook: Rogate Kalengo
Instagram: @rogatekalengo
YouTube: Rogate Kalengo
Email: rogatekalengo@gmail.com

Comments