RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MUSIC VIDEO | MUSIC AUDIO: MERCY D LAI – ATAREGESHA



Kutoka jijini nairobi kenya leo kupitia blog yako pendwa nimekuwekea wimbo uliojaa baraka na faraja hasa kwa wewe mwana wa Mungu uliyekata tamaa, na leo kupitia mtumishi wa Mungu Mercy D Lai ametuletea ujumbe wa kutukumbusha kwamba upendo wa Mungu ni mkuu sana katu hawezi katuacha hata tupitapo katika majaribu mengi bado ana uwezo wa kutuweka mahali salama na kurudisha vyote ulivyopoteza katika maisha yako amini kupitia jina la jina la Yesu Kristo.

”Yeye huwapa uwezo walio hafifu, wanyonge huwapa nguvu.” – Isaya 40:29

Video ya wimbo huu imeongozwa na director mahiri anayefahamika kwa jina la Tiger kutoka studio za Magic Kukaz Worldwide na muziki ukiwa umeandaliwa na prodyuza Bizz B wa nchini kenya.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakuinua na kukupa tumaini jipya ndani ya moyo wako. Karibu!!

Social Media
Facebook: Mercy D Lai
Instagram: @mercydlai
Twitter: @mercydlai
Youtube: Mercy D Lai Official

Comments