RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MUSIC VIDEO | MUSIC AUDIO: JAHDIEL – JUST LIKE YOU



Mwimbaji na mwandishi mahiri wa nyimbo za Injili kutoka nchini Nigeria akifahamika kwa jina la Jahdiel anakuja kwako wakati huu na video yake ya kipekee sana iitwayo Just Like You.

Wimbo huu ”Just Like You” unatufanya tuelewe kwamba tumefanyika kwa mfano wa Mungu na sisi ni mmoja pamoja naye. Unapoangalia na kufurahia video hii itakufanya uitafakari kazi ya Mungu na ukombozi wetu kupitia jina la Yesu Kristo na sisi tukiwa ndani yake.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii ya kipekee na kupakua wimbo huu mzuri na wenye kubariki kutoka kwa mwimbaji Jahdiel.

Social Media:
Instagram: @Jahdielofficial | Twitter: @Jahdielofficial

Comments