RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MH. DK. HARRISON MWAKYEMBE: MAVAZI KANISANI KWA SASA NI CHANGAMOTO

Mavazi ya watu wetu siku hizi katika makanisa yanakuwa changamoto, ni afadhali kidogo katika misikiti ambako wanavaa kistaarabu. Mkutano huu ndo uwe kioo cha kurekebisha hali hiyo. Viongozi wetu tuwe mstari wambele katika kurekebisha mavazi ya waumini wetu ili kurudisha maadili ya taifa. Nawaomba msichoke kuimba kuhusu mavazi stahiki yanayoendana na maadili ya taifa. Dk Harrison Mwakyembe.

Comments