RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

29.10.2017: VIDEO: MCH. STANLEY NNKO ALIVYOGUSA MIOYO YA WATU BAADA YA KUFUNDISHA NA KUTENGUA MANUIZO NA LAANA JUU YA MAISHA YA WATU






Siku ya Jumapili 29.10.2017 katika ibada ya maombi ya KUTENGUA MANUIZO NA LAANA KATIKA MAISHA YETU iliyofanyika katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B", Mch. Stanley Nnko aliweza kuwafundisha waumini wa kanisa hili juu ya haya MANUIZO na LAANA , na baada ya kufundisha aliweza kuliombea kanisa zima na kila mtu aliyekuwa akifuatilia maombi haya kwa njia moja au nyingine. Maombi yalikuwa na guvu za Mungu, na watu wengi sana walifunguliwa kutoka katika mateso yao.

Pia tunakukaribisha katika ibada ya Jumapili hii kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 8 mchana hapa Mlima wa Moto Mikocheni “B”. Kutakuwa na usafiri bure kuanzia kituo cha mabasi cha Makumbusho au Mwenge kwenye mataa barabara ya Coca Cola. Baada ya ibada kumalizika utarudishwa kituoni.
Mch. Staley Nnko


Mh. Bishop Dr. Gertrude Rwakatare

























































ANGALIA VIDEO HAPO CHINI

Comments