RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MCH. & MC. JOSHUA MAKODEKO WA KANISA LA THE HOUSE OF BILLIONEARS UBUNGO RIVERSIDE DAR ATOA MSAADA WA CHAKULA KWA WAUMINI

Mchungaji kiongozi na Mc. Joshua Makondeko waka naisa la The House of Billionears  hivi karibuni aliweza kutoa msaada wa chakula kwa waumini wa kanisa hilo na baadhi ya watu waliofika katika kuabudu katika kanisa hilo. Hii inatoka na upendo alionao kwa watu wenye uhitaji. Mungu anatumia mchungaji huyo kwa viwango vya tofauti sana kutokana na  upendo, huruma na kuwa karibu sana na jamii bila ya kuchagua dini, kabila, taifa au rangi. Mch. J. Makondeko wa Tutapita Katikati Yao amekuwa mstari wa mbele katika kushirikiana na watumishi wa Mungu mbalimbali kwa lengo la kudumisha upendo na kusaidia watu wanaotaka kufika mbinguni.

Unaweza kuwasilaiana na mchungaji huyu kwa simu hizi +255754 569 004 au +255 658 559 004
Mch. & Mc Joshua Makondeko akitoa msaada kwa huyu bibi
















Comments