RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MC. LAWRENCE: MATATIZO ULIYOPITIA SIO SABABU YA KUACHA JAMBO LAKO ULILOLIPANGA


Matatizo unayopitia au Uliyowahi kupata katika hilo unalolifanya Sio Ishara kwamba ndo Uache Jambo hilo.....
Ila matatizo hayo ni Miongozo tu na maelekezo kwamba endelea kufanya ila kwa Umakini zaidi...

Usiache wala kukimbia Biashara yako kwa sababu tu Umevunjiwa Duka lako kwa upanuzi wa Barabara, Usimkimbie mume wako kwa sababu tu ame Kucheat, Usiache Huduma yako kwa sababu tu Hakuna sadaka na Masimango ni meengiii, usiache kujiendeleza Kimasomo eti kwa sababu kuna wenye Degree weeeeengiii na ajira ni chache.....


Keep Pushing wewe ni wewe na hakuna wewe mwingine

Mc Lawrence,
BA. Mass communication
+255 782 226808

Comments