RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

PICHA ZA UZINDUZI WA ALBAM YA TUTAPITA KATIKATI YAO YA MCH. MC. JOSHUA MAKONDEKO

Mch na Mc. Joshua Makondeko siku ya Jumapili 29.10.2017 alizindua albam yake ya Tutapita Katikati yao na kuweka wakfu kanisa lake la The House of Billionares  lililopo jijini Dar. 
Mgeni rasmiMh. Dkt. Mwegulu Nchemba na Mch. na Mc. Joshua Makondeko (kulia)



Mtume Dr. Dunstan Maboya

 Ambwene Mwasongwe akimuimbia dada aliyekuwa akiumwa kwa muda mrefu wimbo uliomtoa na kumtambulisha ili aweze kupona. Hii ilitokea baada ya Mtume Dr. Dunstan Maboya kumuomba Ambwene kuimba huo wimbo. Dada huyu alipokea uponyaji. 























































xxx






Comments